Psalms 78:6

6 aili kizazi kijacho kizijue,
pamoja na watoto ambao watazaliwa,
nao pia wapate kuwaeleza watoto wao.
Copyright information for SwhNEN